News

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI SHIRIKA LA PRECISION KUUNGANISHA MWANZA NA DODOMA

Dar es Salaam, Jumatano, 29 May 2019 Shirika la ndege la Precision Air limetangaza kuanzishwa kwa safari zake kati ya Mwanza na Dodoma kuanzia tarehe 3 Juni 2019. Hatua hiyo inakuja ikiwa ni sehemu ya mikakati wa shirika hilo katika kuunganisha mji mkuu wa Dodoma na mikoa mingineyo nchini Tanzania.

Read more ...

PRECISION AIR CONNECTS MWANZA TO DODOMA

Dar es Salaam, Monday, 29 May 2019 Precision Air has announced that effective from 3rd June 2019 it will commence its operations between Mwanza and Dodoma.The move is part of ongoing Precision Air’s initiative to connect Dodoma, the capital city of Tanzania to rest of the regions in the country.

Read more ...

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI PRECISION AIR YAREJESHA SAFARI ZAKE ZA KAHAMA NA TABORA

Dar es Salaam, Alhamisi, Mei 16 2019 Baada ya abiria kusubiri kwa hamu, hatimye shirika la ndege la Tanzania la Precision Air limerejesha safari zake za kuelekea wilayani Kahama na,mkoani Shinyanga na Tabora.

Precision Air itakua ikifanya safari zake mara tatu kwa wiki, siku za Jumapili, Jumatano na Ijumaa kuelekea wilayani Kahama na Tabora kutokea Dar es Salaam.

Read more ...

PRECISION RE-OPENS ITS ROUTE TO KAHAMA AND TABORA

Dar es Salaam, Thursday, 16th May 2019 After a long wait for the Precision Air’s return to Kahama and Tabora , the wait is now over as the airliner resumes its flights to the regions.

Precision Air will be flying to Kahama and Tabora three times a week, every Sunday, Wednesday and Friday, from its hub Dar es Salaam.

Read more ...